Haturudi Nyuma
Kidum Kibido (feat. Juliana Kanyomozi)
LRC File Content
[id: ngirxxyi] [ar: Kidum Kibido] [al: The Best Of Kidum Kibido] [ti: Haturudi Nyuma (feat. Juliana Kanyomozi)] [length: 04:48] [00:07.29](Nasema mpenzi, mpenzi) [00:09.86]Mpenzi wewe [00:12.42]Mpenzi wewe [00:14.93]Mpenzi wewe [00:20.75]Mpenzi wewe [00:23.50]Mpenzi wewe, eh [00:26.21]Nieleze, vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe [00:30.64]Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe, eh? [00:36.40]Kama ni ukweli yale naskia kwa majirani [00:41.44]Ya kwamba utakuja kwenda zako, ooh [00:47.52]Uliniahidi tutakuwa tukijadiliana kwa swali yangeleta utata [00:58.37]Kwa nini chini chini unanificha yanayo kusinya? [01:03.91]Lakini unayasema kwa majirani [01:09.04]Kwa nini kando kando unanificha yanayo kuudhi? [01:14.72]Lakini unayateta kwa marafiki, uh [01:20.33]Ukiniacha, mi' ntalia [01:22.71]Ukienda zako, ntabaki naumia [01:25.84]Kama ungelijua (ungelijua) [01:28.58]Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema [01:31.90]Baby nakuomba, please, baki nami [01:36.68]Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena [01:42.18]Tunayo nafasi ya kuanza tena, ah [01:47.55]Tunayo nafasi ya kujikosoa [01:52.14]Haturudi nyuma kamwe [01:57.79]Haturudi nyuma kamwe [02:01.64]Juliana we (Juliana we) [02:04.41]Watu wanasema kama karibuni we' unaoa tena [02:08.59]Na kwamba nianze kujipanga (si ukweli, nimekataa) [02:14.95]Ni tahadhari kubwa kwangu na unanitisha, sijui nimekosea wapi [02:25.72]Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kiliweka wazi [02:36.72]Ni kuki shenge, uguma buri gihe umbabaza [02:41.44]Kandi uzi ko ngukunda (nanje nako ngukunda yo) [02:47.58]Ni kuki rukundo, uguma untera umujinya [02:52.34]Ukica amatwi ngukunda, ah [02:58.48]Ukiniacha, mi' ntalia [03:01.24]Ukienda zako, ntabaki naumia [03:04.04]Kama ungelijua (ungelijua) [03:06.79]Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema [03:09.79]Baby nakuomba please baki nami (mpenzi, mpenzi wangu) [03:14.85]Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena [03:20.34]Tunayo nafasi (oh) ya kuanza tena (, baby, baby) [03:25.91]Tunayo nafasi (ooh) ya kujikosoa [03:30.43]Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya) [03:36.06]Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma kamwe) [03:40.85]Nasema, nasema, nasema [03:42.55]Baby (baby) nakuomba, please, baki nami [03:47.50]Baby please (nasema mpenzi!) Nakuomba baki tujaribu tena [03:52.86]Tunayo nafasi (tunayo nafasi ye) ya kuanza tena (oh) [03:58.40]Tunayo nafasi ya kujikosoa [04:02.89]Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya) [04:08.56]Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma, twasonga mbele, twasonga mbele) [04:17.78]Tunayo nafasi, twasonga mbele [04:20.87]Haturudi nyuma, haturudi nyuma, baby, baby [04:25.02]Haturudi nyuma kamwe [04:29.12]Oh, haturudi nyuma kamwe [04:34.07]Haturudi nyuma kamwe, twasonga mbele (ooh) [04:39.46]