Upendo - Spice Diana (feat. Zuchu)

LRC File Content

[id: ngi8bqmu]
[ar: Spice Diana]
[al: Upendo (feat. Zuchu) - Single]
[ti: Upendo (feat. Zuchu)]
[length: 02:29]

[00:09.21]Umepata mabinti lakini
[00:11.03]Mimi napiga kama kush
[00:13.98]Nimeshika maboss wa Kampala
[00:16.16]Wote nikawacrush
[00:18.72]Jina langu ni Diana
[00:21.16]Nimekuona toka jana
[00:23.58]Sasa ka tumekutana
[00:25.66]Kila kitu baby we are gonna do
[00:28.97]
[00:28.57]Upendo oooh, upendo oooh
[00:33.29]Upendo sio magic huu ni upendo
[00:38.07]Upendo oooh, upendo oooh
[00:43.02]Upendo sio magic huu ni upendo
[00:47.39]
[00:47.85]Mapenzi, mapenzi
[00:52.44]Yamenizidi kwa kichwa
[00:54.23]Me mwenzenu siwezi
[00:57.81]Mapenzi, mapenzi
[01:01.99]Yamenizidi kwa kichwa
[01:04.13]Tena siwezi
[01:06.32]Akinipa carrot naidandia
[01:09.33]Naikula kavu kavu
[01:11.11]Navisamba zote umainulia
[01:14.15]Aichane mpaka nyavu
[01:16.40]To the left, kulia kulia
[01:18.91]Atakacho mie sawia sawia
[01:20.79]Kama kasheti vibagia bagia
[01:23.76]Chachandu unimwagia
[01:25.75]
[01:35.87]Upendo oooh, upendo oooh
[01:40.54]Upendo sio magic huu ni upendo
[01:45.34]Upendo oooh, upendo oooh
[01:50.19]Upendo sio magic huu ni upendo
[01:54.79]
[01:55.29]Amenitouch touch yoh
[01:57.83]Amenigusa gusa
[01:59.77]Vya juu, vya chini, vya nje
[02:01.53]Vya kati pia
[02:02.64]Amenigusa gusa
[02:05.01]Amenitouch touch iyoo
[02:07.44]Amenigusa gusa. Kwata kwata onteeke w'oyagala
[02:12.06]Amenigusa gusa
[02:14.51]Mocco Genius

A-Z

A / B / C / D / E / F / G / H / I / J / K / L / M / N / O / P / Q / R / S / T / U / V / W / X / Y / Z