Umepata mabinti lakini
Mimi napiga kama kush
Nimeshika maboss wa Kampala
Wote nikawacrush
Jina langu ni Diana
Nimekuona toka jana
Sasa ka tumekutana
Kila kitu baby we are gonna do
Upendo oooh, upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo
Upendo oooh, upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo
Mapenzi, mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa
Me mwenzenu siwezi
Mapenzi, mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa
Tena siwezi
Akinipa carrot naidandia
Naikula kavu kavu
Navisamba zote umainulia
Aichane mpaka nyavu
To the left, kulia kulia
Atakacho mie sawia sawia
Kama kasheti vibagia bagia
Chachandu unimwagia
Upendo oooh, upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo
Upendo oooh, upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo
Amenitouch touch yoh
Amenigusa gusa
Vya juu, vya chini, vya nje
Vya kati pia
Amenigusa gusa
Amenitouch touch iyoo
Amenigusa gusa
Amenigusa gusa